Habari waungwana;
Kuna file la muhimu sana; liliandaliwa kwa program ya program ya Apache OpenOffice. Mashine iliyotumika kuandaa iliformatiwa kwa bahati mbaya. Sasa file liko kwenye flash.
Tumejaribu kulifungua imeshindikana; tatizo laweza kuwa nini?
Ahsante kwa msaada.
MS Office haiwez kufungua Open office file,
So, download Apache open file then uitumie kufungua hilo file, au Kama hlo file sio confidential unaweza Ku_convert in to MS file online.