Msaada: Field za IT

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Wakuu habari zenu, naomben mwenye kufahamu ni mahali gan ninaweza kufanya Field (mafunzo kwa vitendo) ambayo itanisaidia kufaham mambo mengi ya ki IT,
 
IT ni pana sana, chuo ulichosoma walitakiwa wakuambie wapi utafanyia field. Umesomea au umejikita upande gani hasa katika IT?
 
Kwanza hujaeleza we ni mwaka wa ngapi na unasoma faculty gani kwenye hiyo IT ili tukueleze unapaswa kujifunza vitu gani kulingana na mwaka unaosoma na wapi uka-apply field
 
Niko mwaka wa Pili mkuu nasoma Computer engineering and Information technology hapa Coet..
 
Niko mwaka wa Pili mkuu nasoma Computer engineering and Information technology hapa Coet..
Duh,you are not serious,CoET ndiyo imechoka hivi nowdays,wewe sehemu ya field mpaka uje kuliza JF?Acha kukaa peke yako ulizia hata watu wa mwaka wa tatu au hata unaosoma nao.Au wewe ni wale alone alone?Utakufa peke yako,speak to your fellows acha kujifungia room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…