DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 680
Nime report sana lakini hawa respondYangu ilikuwa akaunti ya kawaida tu. Jamaa wa south Africa alifukuwa wakaea wanatumia kutangaza maswala ya ngono. Niliweza ku log in na kubadili neno la siri na kufuta contents zao mbaya.
Ushauri, jaribu ku report huko Facebook but ukiiacha Facebook wenyewe watakutumia alert for safety ndipo utafuata maelekezo watakayokupa kuhuisha akaunti
YesStill need help?
Ingia youtube au google search....
Mkuu hii ulifanikiwa kuirudisha?Wakuu salamu,
Nina Facebook page yangu inaitwa "Mkatoliki Imara"..ni page iliyokuwa ina post content za dini tuuu.
Kuna jamaa waliidukuwa na wakaniondoa kuwa admin,ila details zangu zote bado zinaonekana kule.
Sasa wale jamaa wanaitumia page yangu hiyo kupromote website zao kwa kutumia content za ngono.
Kwa kuwa waliniondoa kuwa admin hivyo sina access yoyote ile ya kufanya ili wasipost.
Napata simu za watu wengi sana wakilaumu kwann napost picha za utupu kwenye page ambayo awali ilikuwa ilipost content za maswala ya kidini.
So,naomba msaada kwa yeyote yule mwenye utaalamu wa kuifunga au kuirudisha hiyo page kwenye controlling yangu
Kama yupo mwenye huo ujuzi anicheki basi kwa namba hii 0712778881
Ndio hiyo hiyo.Mkuu hii ulifanikiwa kuirudisha?
Inaonekana una kauzembe fulani
Nilishafanya hii,lkn wapiIngia youtube au google search....
"how to recover admin status on a hacked facebook page"..
hiyo shida yako, naamini utapata solution.