Habari za leo ndugu wana JF poleni na mihangaiko ya maisha,
Naombeni msaada wenu external hard disk yangu haisomwi tena kwenye laptop yangu na ikitokea ikasomwa haionyeshi chochote yaani total storage na used storage
Sijui nifanyaje ndugu zangu
Thanks