shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Jamani habari zenu, naomba msada, gari yangu spacio engine 1NZ inatatizo la kukata kuwaka nikiwasha asubuhi battery haiwashi mpaka ni boost, nimenunue battery ya maji N40 lakini tatizo linaendelea, sometimes inawaka kipindi kingine inakata.
Nilipo nunua battery wamepima wananambia battery nzima ila wakipima wanasema tatizo ni alternator kwakua output yake ni 13.2 in ashuka 13.09, kumpelekea Fundi kapima na yy then kasema alternator iko weak niyakutengenezwa, bada ya kuifungua kacheck then kasema anaona ni nzima japo inatoa output ndogo inawezekana ndio mfumo wake,
kwa hioo ninue battery kubwa Kama N50 niweke tatizo litaisha...sasa hapa kama sijaelewa vizuri, naomba ushauri kwa wanao elewa vizuri.....