Waungwana nimekuja kwenu kutaka ushaur,nina binti amehitimu Form 4 na kwa bahati mbaya hakuchaguliwa kuendelea kidato cha 5 kama ambavo mimi nilivyotarajia.
Sasa basi nikiwa mzazi inaniumiza sana,naombeni ushauri
Hujasema amepata division ngapi na baada ya matokeo hayo yeye binafsi bila shaka atakuwa kaonesha kuwa interested na kujifunza kitu fulani au huenda pengine kakuomba arudie pepa tena/ funguka mkuu upewe ushauri mzuri