Charles Elias
Member
- Aug 14, 2012
- 61
- 4
Unaripoti moja kwa moja DUCE, kuhusu Hosteli itajulikana baada ya kuwa usajiri na kulipa michango/ada unayodaiwa. Jipange na fungu la kufikia guest kama huna ndugu walau kwa siku 2 au 3. Kama una jamaa wa 2nd Year mwambie akupe uzoefu kidogo. DUCE kwa kawaida wanapewa vyumba Mabibo Hostel (kwa wanaume) na wanawake wachache wanapata nafasi kwenye hostel za chuo.Tunaripoti DUCE au main campus? Na hosteli ni zipi?
nmepata mkopo? ndo maana unaona nnakihelehele sana.Duu hii nayo kali!!!!!! Umetisha bro.
Ivi mazee Bsc. ED anakuwa nani na B.ED. Sc. anakuwa nani? Potelea mbali hata kama wote ni walimu je upi ni mzuri? Na je hiyo michango unaenda nayo mkononi au wao watajuana na bodi?