Model yako na tofauti na yangu ila ilishanitokea, na nilipobadili betri ikafanya kazi. unaweza kubadili betri tena ingawa betri ulizonazo ni mpya kama ulivyosema na ikishindikana wapigie simu multichoice na uombe ushauri. Vinginevyo nenda nayo pale ofisini kwao watakusaidia.