Msaada - DSTv Remote control yangu (B4) imeacha ghafla kufanya kazi

Masterproud

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
440
115
Habari wandugu. Nimenunua Dish na king'amuzi cha Dstv na ninatumia kwa wiki sasa. Lakini kuanzia jana, remote yangu ghafra tu ikawa haifanyi kazi. Yaani ukibonnyeza key yyt inawaka taa tu na haioneshi response yyt kwenye recever mf. kuongeza sauti au kubadiri channel. Betri ni mpya kabisa. Nakosa raha kila wakati natakiwa kubonyeza decoda naona ni kero. Pls kwa anayejua namna ya kusolve hii shida anisaidie. Natanguliza shukrani.
 
Model yako na tofauti na yangu ila ilishanitokea, na nilipobadili betri ikafanya kazi. unaweza kubadili betri tena ingawa betri ulizonazo ni mpya kama ulivyosema na ikishindikana wapigie simu multichoice na uombe ushauri. Vinginevyo nenda nayo pale ofisini kwao watakusaidia.
 
Asante ndg. kwa ushauri. Nitajaribu kubadiri betri nione. Me nipo nje ya Dsm, Je unaweza kunisaidia namba zao za huduma kwa mteja niwasiliane nao?
 
Bonyeza shift halafu ubonyeze kitufe chenye alama ya tv na mziki,utakuwa umeihamisha remote yako toka kwrnye sehemuya datv music/radio to tv
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom