Wakuu naomba msaada katika kujaza maombi ya degree tatizo ni katika kujaza mwaka niliomaliza, mfano mimi nimemaliza Diploma mwaka 2016 lakini katika kuchagua huo mwaka haupo katika system ya TCU mwisho mwaka 2015 kama picha inavyo onekana hapo chini,je tatizo ni nini wakuu;-