Msaada:desktop yangu haisomi flash,modemu wala memory card


shukrani mzee nitajaribu zen nitakupa feedback
 
nicheki niko dom, dawa yake ni ndogo sana. Naku pm number yangu ukitaka utanitafuta, nipo dom mjini, chamwino!
 
Uninstall drivers hizo then restart deskrop and install the drivers softwares again
 
Kweli huyo aliyeingiza hiyo program nakuweka password bila kumpatia password mwenye computer ni uhuni kabisa, najua huyo jamaa ni kilaza kabisa utaingizaje psw kwenye komputa ya mtu? Pia nimeona mafundi uchwara wengi wana pin bios za komputa za wateja bila ridhaa yao ili arudi tena kwake.huu ni upumbavu. Pole sana ndugu
 

Na mtoa uzi naye longo longo yaani soln zote alizopewa azijamfaa?
Kama vp chelsea fc lete tukutolee bana.
 
Last edited by a moderator:

ebwana shukrani solution yako imenisaidia nimetatua tatizo aisee mungu akubariki sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…