chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
labda ume dis-able hizo ports mkuu jaribu kucheck.
Just check to enable ports
mimi nina software ya ku-unstall. nipe contact zako ktk pm, kama uko around na ninapoishi fine.
kivipi naomba nifahamishe!
go to my computer icon on desktop right click then click manage ikifunguka click kwenye device manager halafu kulia kwako fungua universal serial bus controllers zi expand uki right click kila moja utaona kama iko dis abled au enabled kama ziko dis abled wewe enable.
ebwana shukrani kwa elimu uliyonipa,nimechek nimekuta zipo enabled,zingekuwa disebled zingekuwa zina x nyekundu.sasa kuna hii kitu USB disk security ime be installed nahisi ndio tatizo haitaki kutoka ukiigusa inadai password
jaribu kui unistall from control pannel then uniinstall programs kama iko installed kwenye pc yako. kama ni kwenye disk jaribu disk nyingine ambayo haina hiyo software ili kuconfirm tatizo lilipo.
kupitia control panel ndio inagoma sasa,uki clic ile option inasema haiwezi kutoka inatumika
Nimekusoma kijana hiyo software hata mie ninayo na unaweza kuiset kuzuia watu wasichomeke flash au unaweza kuruhusu flash but ukazuia kuingiza au kutoa data mpaka uweke password.ebwana shukrani kwa elimu uliyonipa,nimechek nimekuta zipo enabled,zingekuwa disebled zingekuwa zina x nyekundu.sasa kuna hii kitu USB disk security ime be installed nahisi ndio tatizo haitaki kutoka ukiigusa inadai password
nashukuru wajameni
umetumia solution ipi?