Msaada: Desktop view kwenye simu

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
3,084
Reaction score
6,155
Naomba maelekezo jinsi ya kuset facebook page iwe kwenye desktop view kwenye simu ya android E400. Kuna siku sijui ilijiset yenyewe....ilikuwa poa sana. Najaribu kutafuta sehemu yenye hiyo option lakini sioni. Nisaidieni wataalam.
 
Sio page zote za facebook zinaweza kuwa transformed kwenda mobile view so take advantage ya page hizo

Mfano kama mimi natumia page ya kucreate page ili nishift kwenda desktop view

Url yake hii hapa

Create a Page | Facebook

Ukiclick utajiona kwenye desktop view
 
Asanteni sana kwa maelekezo mazuri wakuu. Hii ndio faida ya kuwa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…