habari wana jamvi, nimenunua laptop mpya dell inspiron 15 3000series, waliniwekea windows 7 lakini haikua haina drivers za sauti amoja na wireless, nimebadilisha OS nkaweka windows 8 tatizo lililokuja tena ni kua cursor haifanyi kazi mpaka niweke external na bado drivers za wireless zimegoma...tatizo ni nini na naomba msaada wa kuondokana na hilo tatizo.
naomba kuwasilisha.