Jwanza angalia dek inasaport aina gan ya format then format za hzo nyimbo lazma ztakua za Mp4 na deki nyng znataka format za mpg so apo cha kufanya nenda kacomvert izo nyimbo ziwe kwnye mfumo wa mpg vinginevyo huwezi ona hzo nyimbo na ndio maana inaandika Unsupported file format anko sawa .Ila ukizicheza kwnye PC au Flat lazma zitacheza bcoz pc na flat zinaruhusu mfumo wa mp4 na nyngnezo.AhsanteNimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapodownload Video za nyimbo katka snap tube Kisha nikiziingiza Katika Flash na kuplay Ktk deck zinagoma na kuandika unsupported file format..
Naomba kwa yeyote mwenye kujua nifanye nn anielekeze Wadau....
Nawasilisha .