Tofauti na hizo itabidi umeze ChloromphenicolMambo vp wakuu natumaini mko vizuri....
Naomba kuuliza mwenye uelewa na hizi dawa za typhoid (Cipro)
Naona zinanipeleka Kasi kweli kweli, baada ya vipimo typhoid ilikuwa 160 ila hizi dawa naona kama zinataka kunishinda
kunywa dawa baada ya kushiba, kunywa maji mara kwa mara, hizo ni side effects tu za dawa, ukimaliz dozi kila kitu freshMambo vp wakuu natumaini mko vizuri....
Naomba kuuliza mwenye uelewa na hizi dawa za typhoid (Cipro)
Naona zinanipeleka Kasi kweli kweli, baada ya vipimo typhoid ilikuwa 160 ila hizi dawa naona kama zinataka kunishinda
Wewe ushanitosa kabisa,sjui ualimu wangu ndo shida au!?Daah itakuwa inategemea ntu na ntu.
Mimi nazipiga hata bila kula halafu fresh tu
Wewe si ulinikataa hadharani wewe.Wewe ushanitosa kabisa,sjui ualimu wangu ndo shida au!?
Sasa nimerudi nipe location basi!!Wewe si ulinikataa hadharani wewe.
Ngoja ncheke japo kisa sikijui.Ha ha ha ha.Wewe si ulinikataa hadharani wewe.
Mambo vp wakuu natumaini mko vizuri....
Naomba kuuliza mwenye uelewa na hizi dawa za typhoid (Cipro)
Naona zinanipeleka Kasi kweli kweli, baada ya vipimo typhoid ilikuwa 160 ila hizi dawa naona kama zinataka kunishinda
Hope walikwambia ule ushibe na usinywe maziwa.Mambo vp wakuu natumaini mko vizuri....