Pole sana, tunachotakiwa kufahamu wote ni kwamba vjidudu kwenye mwili wa binadamu vinatofautuiana, bakteria au fungus waliopo mdomoni watakua hawana madhara wakibaki mdomoni, lakini wakiingia kwenye ngozi au damu, mfano unapong'atwa wanasababisha ugonjwa,vivyo hivyo vijidudu vilivyopo sehemu za siri vikiingia mdomoni vinasababisha magonjwa. Ushauri nenda hospitali.