Nilikuwa na tatizo hilo kwa mtu mwingine, nikaomba elimu kuhusu homoepathy maana niliambiwa inatibu hayo na mengine, baadaye niliendelea kufanya utafiti nikaelezwa kuna clinic tatu hapa Dar za homoepathy, moja iko sinza, nyingine Urafiki flats na nyingine ilala. jana jioni nilimtuma mgonjwa pale urafiki flats, kapewa dawa siju kama zitafanya kazi, lakini waliotuambia walisema walisaidiwa na tiba hiyo, jaribu na wewe