Msaada: Dawa ya kumaliza tatizo la kujaa gesi tumboni

Acha kunywa soda kabisa, acha kunywa maziwa fresh na mgando maana najua unakunywa yaliyo changanywa na ngano, acha bia, acha kunywa maji ya baridi ya kwenye friji kunywa maji ya kawaida halafu sikilizia wiki 2 gesi ikiisha ndani ya wiki mbili basi inabidi uache kabisa kunywa soda, maziwa na maji ya baridi.
 
Change life style yako, kwa mfano:
Punguza kula junk food ikiwezekana acha kabisa
Kunywa maji ya vuguvugu tena mengiiii
Usilale na shibe kwa mfano unalala saa 8 ucku bac hakikisha at least mwisho wako wa kula iwe ni saa 4 jion
Kula ukiwa na njaa tu usilundike vyakula
Then pendelea kula mbg mbg na matunda
Fanya walking around japo twice a day
Km bado tumia dawa za hospital km milk of magnesium, Omeprazole na nyenginezo
Maumivu yakizid muone daktari
 
Kuna dawa inaitwa NILACID, itakusaidia lakini achana na vyakula, vinywaji vinavyosababisha gas tumboni. Vinginevyo itakusaidia kwa muda tu na baadaye hali itarudi vilevile kama hutabadili style yako ya maisha.
 
Kunywa tangawizi iliyochemshwa kama chai angalau mara mbili kwa siku, ukiweza kunywa mara 3. Hakikisha asubuhi unakunywa nusu saa kabla ya kula chochote. Fanya hivyo kama tabia yako ya kudumu utaona faida zake. Pia kunywa maji mengi mara kwa mara, usipende vyakula vilivyo wekwa viungo vingi au pilipili, usipende kula vyakula vilivyokaangwa.
 
Pia usinywe pombe. Kama hali yako ni mbaya anza kutumia Relcer Gel. Inapatikana duka la madawa.
 
jaribu miwa n msaada sana pia ndan yake kuna faida nyingi ikiwemo kurekebsha matatzo89% yanayo sababishwa na unywaji wa soda
 
gesi tumboni hutokana na excessive release ya asidi inayosaidia katika digestion..kiwango cha asidi inayotolewa na mwili hutegemea chakula kinachosagwa tumboni ni cha aina gani..lingine linalofanya gesi kujaa tumboni ni kula au kunywa vyakula au vinywaji vyenye gesi hizo..kwa mfano,matunda hutoa citric acid, maboga mengi hutoa hcl na maziwa hutoa lactic acid..hivyo ni vyema kutotumia vyakula hivi kwa wingi na kama ni kinywaji ni bora unywe maji manake maji ni neutral hivyo haina shida yoyote...kama shida hii imesababishwa na sababu ya awali hapo juu,waweza ukatumia visawazishi kwa lugha ya kimombo basics..hivi waweza hata ukacipata kwa duka la dawa ama ukatumia zile za kiasilia...hizi basics huchanganyika na zile asidi na kuwa neutral hivyo shinda ya kujaa gesi tumboni kuisha...mazoezi pia ni muhimu sana maana yanawezesha mwili wako kuwa flexible na active wakati mwingi...ni hayo kwa sasa mkuu
 
How excessive release of acid inapelekea tumbo kujaaa gesi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom