mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Nenda duka la madawa ya kilimo..Wapendwa mambo vipi
Naomba kufahamishwa dawa ya kuangamiza hawa wadudu
Chumbani wamejaa mpaka kitandani hapa nipo nje nimeshachoma nguo lakini wapi ipi dawa ya kuwafanya wasirudi tena??
Nakuapia hiyo nyumba au chumba umepanga,sitaki kusema mengi hama hapo
Huenda ni nyumba yake mwenyewe.
Kuna dawa ya wadudu inauzwa kwenye maduka ya dawa za kilimo, unamwaga kwenye vizingiti vya milango madirishani hapo utawazui kuingia ndani nje tafuta njia yao mule wanakopita jitahidi kuchoma Moto kila jioni na asubuhi uwe unafanya kuwatafuta hao wadudu sio wazuri hasa ukiwa na mtoto mdogo ndani wanauwezo wa kuua. Chukua hatua mapema
Wanamuingia masikion, puani, machoni na mdomoni siafu wanauwezo wa kuua mpaka nyoka, sehemu yenye siafu nyoka wanakimbia .Wana uwezo wa kuua? How
Vipi ulifanikiwa kupata dawa maana nami nasumbuliwa na siafu, huingia ndani kila baada ya siku chache. Na ni wengi sana. Nimeshindwa kujua chanzo chake ni nini na namna ya kuwadhibitiWapendwa mambo vipi
Naomba kufahamishwa dawa ya kuangamiza hawa wadudu
Chumbani wamejaa mpaka kitandani hapa nipo nje nimeshachoma nguo lakini wapi ipi dawa ya kuwafanya wasirudi tena??