Habari zenu.
Nina dada yangu jamani huu mwaka wa 4 sasa hana kazi, ana shahada ya Mass communication ame specialized in public relation.
Ameangaika kutafuta kazi sehemu tofauti mpaka leo hamna kitu. Jamani kama una connection huko msaada wako please.