Wakuu nimekuwa nikisoma kuwa engine za D4 si nzuri katika mazingira yetu. Sasa nimeona kuna gari zina D4 vtti. Naomba kujua kama hizi engine ni tofauti na D4
Asanteni

Kuna uzi maalum kuhusu maswala ya magari ulianzishwa na Mshana Jr katika jukwaa la habari mchanganyiko.
Swala hili limejadiliwa kwa kirefu.
Tafadhali ingia huko