Ilala baada ya machinga complex ukitokea magomeni kata kushoto kama unaenda shaurimoyo upande wa kulia nyumba ya kwanza au ya pili uilizia Kilonja, West au Muddy.
Ukiwakosa hao zunguka mtaa wa Songea kuna mtu anaitwa White, Casto au Ingia Duka lolote lenye jina Mkweche then Ulizia Chopa!!!!
Ukikwama PM
Mkuu hzo zipo nyingiii kama dsm hakna mikoa ya arusha na moshi zipo mana kule zinatumika sana hzo gari na pia zipo zilizopata ajali nyingi so kupata spare ni rahisi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kaka nitakustua kesho, najua Dubai hutokosa huko Mkuu!!!Kaka gari yako ni model gani(mwaka gani)nawezakukutumia bila tatizo lolote
Kaka nitakustua kesho, najua Dubai hutokosa huko Mkuu!!!