Habari zenu wana Jf,
Naombeni ushauri wenu wana janvi, kuna dogo ana div 2 ya 11 Bios C, Chemia C, Physics E na Bam E.
Awali alitamani sana kwenda kuchukua degree ya udaktari au Pharmacy, ila kwa sas hana vigezo.
Ni course gani nzuri anaweza kuapply vyuo tajwa hapo juu, course ambayo hata akimaliza anaweza fanya kazi zake bila kutegemea kuajiliwa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati an karibuni sana kwa ushauri wenu.