Msaada: Contacts zinafutika kwenye phonebook na Google account mara kwa mara

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,883
1,599
Wakuu
Hili tatizo hii nisimu yangu ya tatu kunitokea.....ingawa synch iko activated....huwa inafanya synchronization lakini baada ya muda fulani unakuta zimefutika kotekote au majina hayaonekani zimebaki namba tu....nimejaribu ku google nimeona kuna watu wengi wana tatizo hili lakini hakuna solution inayoeleweka mpaka sasa,.Tatizo hili nimeliona kwenye Samsung,Techno na sasa iTel .Naombeni mssaada wenu wakuu
 
Unatumia Tecno?????
 
Kama gugo hamna msaada hapa JF utakuwa umekuja kututania tu..

Ngoja waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…