Wadau msaada wa jinsi ya ku configure wireless network katika linux mint natumia laptop aina ya compaq presario cq 61-218EM nimeenda kwa network administrator anasema ameshindwa kuconnect wireless kwenye pc yangu sababu hawezi kuziona wireless networks, so kama kuna mtu anaefahamu namna ya kufanya configuration za wireless card anipe maujanja namna gani naweza kusolve hili tatizo manake alichoniambia nifanye yeye ni ku update system ila naona haijasaidia.
Regards,
shark's style.
I think I can't install it, Can you tell me how to install it? Manake nimehangaika mno kufanya hivyo, so kama unajua command ya kufanya installation ya hiyo driver can you help? Kuhusu switch ya wireless inakuwa always on kwenye upande wa linux na hauwezi kuitumia kuzima wireless card ila kwa windows unaweza ku switch off. Msaada nifanyaje kuinstall hiyo driver kama imekuwa missing na pili nitawezaje kucheck if driver ipo or haipo?
Regards,
Shark's Style.