Msaada: Computer yangu ina'ganda ninpofungua web

southern

Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
25
Reaction score
0
WADAU,
natumia computer DELL VOSTRO, toka ninunue haijawahi kunisumbua but kuanzia jana ninapoenda upande wa internet na kufungua web yoyote ina load na kukubali mpaka inaleta homepage, ikifika hapo tu inaganda (jam) hapohapo na inagoma kuendelea na application zozote za internet. kwenye kazi zingine za kawaida ambazo hazihusiani na internet iko poa... kuna nini wadau, msaada plz
 

Pole sana.
Kama unatumia internet explorer fanya default settings huenda ukafanikiwa. Fanya hivi:







Ikishindikana, badirisha browser, tumia mozilla au google chrome

 
Nenda All programs - System Tools - System Restore - Choose restore point ( Chagua cku ambayo unaona pc yako ilikua na afya) then next halafu confirm. PC itarestart then Bye bye hiyo ktu
 
Mdau kama huo ushauri wa Baba mtu umeshindikana basi ni wazi kuwa itakua imeshambuliwa na mnyoo unaoathiri utendaji wa browser. jaribu kurestore, ama kama imeshindikana kabisa basi fanya backup na format your pc.
 
baba mtu, dav22, biohazard na ikindo nashukuru kwa ushauri wenu, nitaufanyia kaz the nitawapa feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…