ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Computer ya kwangu ni Dell Latitude naipenda sana jamani tangu 2007 ninayo na haijawahi kunisumbua kwa lolote mpaka jana ndo nimeshangaa kweli.
tatizo haipitishi chag wala kuserve moto..adaptor ipo safi nimejaribu computer ingine imepitisha..nimechukua adaptor ingine bado imenigomea sasa sijui kama ni haka kaplug ka kupitisha moto kamepiga shot au vip? naombeni msaada kama ndo ya kutupa ama vinauzwa?au kutengenezeka?