tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
arbNatumia Toshiba..ina RAM 2gb, processor 2ghz na harddisk 320GB, zaidi za 160gb zipo free, lakini cha ajabu siku za karibuni imekuwa slow sana...karibia kila program inastack, naomba msaada wenu nifanyeje? Maana natumia nguvu nying sana kutumia hii laptop
arb
Malware, virus, spyware huenda ikawa ndo sababu. Una antívirus?
Hiyo inakuwaje mkuuJaribu kufanya hivi
1. Update your antivirus na uscan computer yote
2. Install registry cleaner e.g ccleaner na uscan & fix registry
3. Defragment hard disk yako
Natumia Toshiba..ina RAM 2gb, processor 2ghz na harddisk 320GB, zaidi za 160gb zipo free, lakini cha ajabu siku za karibuni imekuwa slow sana...karibia kila program inastack, naomba msaada wenu nifanyeje? Maana natumia nguvu nying sana kutumia hii laptop
Update kisha scan, ukiona , inazingua. Download microsoft security essential ondoa Avg weka MSE uliyodownload, update then Scan!!!
Hiyo inakuwaje mkuu
hii ndio solution ya tatizi lako, pia hakikisha kuna partition kati ya files zako na files za computer, partion yenye windows files hakikisha ipo free hauijazi vitu vingine,,,,Jaribu kufanya hivi
1. Update your antivirus na uscan computer yote
2. Install registry cleaner e.g ccleaner na uscan & fix registry
3. Defragment hard disk yako
nashukuru imefanya kazi...Jaribu kufanya hivi
1. Update your antivirus na uscan computer yote
2. Install registry cleaner e.g ccleaner na uscan & fix registry
3. Defragment hard disk yako
nashukuru imefanya kazi...
mkuu kwema?hii ndio solution ya tatizi lako, pia hakikisha kuna partition kati ya files zako na files za computer, partion yenye windows files hakikisha ipo free hauijazi vitu vingine,,,,
Cheki update kama unatumia latest version ya hiyo softwaremkuu kwema?
vipi kama na mozilla FF nayo inazingua, yani not responding kila wakati, nako hii inaweza saidia?
asante sana Mr. P.Cheki update kama unatumia latest version ya hiyo software