Msaada: Chuo kizuri kusomea kompyuta

Msaada: Chuo kizuri kusomea kompyuta

tembophd

Senior Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
113
Reaction score
34
Wana JF
naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri....
Msaada tafadhar
 
Computer application certificate ya miezi mitatu au ipi hiyo?
 
Computer certificate sokoine university of agriculture of morogoro utapata elimu nzuri naamini maana mm mwenyewe nipo nachukua degree mwaka wa kwanza ukitaka ufafanuzi zaidi nitafute kwa namba hiyo 0762426644
 
Te he he! PTER acha kijana akasome...
kile chuo siyo salama tena mkuu wa nchi mwenyewe kasema kinadahili vilaza sasa lazima tuwashauri vizuri madogo watafute kwingine maana anaweza akadahiliwa akasoma wiki akapigwa notisi ya masaa 24 aondoke
 
Computer certificate sokoine university of agriculture of morogoro utapata elimu nzuri naamini maana mm mwenyewe nipo nachukua degree mwaka wa kwanza ukitaka ufafanuzi zaidi nitafute kwa namba hiyo 0762426644
poa ntakutafuta
 
Huko simshauri aende...icho chuo c ndo rais alisema kinadahili vilaza wakawapa notes ya masaa 24 wawe wamepotea chuoni
Sidhani matamko ya raisi kama yalilenga courses za computer za UDOM. Naamini wa program nzuri tu na wako vizuri.
 
Wana JF
naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri....
Msaada tafadhar

Tafuta used laptop; hakikisha kuwa atakaekuuzia ame-install programm zote unazotaka kujifunza. Then, weka bundle la data, nenda youtube. Search basic course ya kile unachotaka kujifunza (kwa mfano kama ni excel search "basic excel training" au "excel for beginners".
And there you have it.
 
Jamaa anaulizia chuo wewe unamwambia akanunua PC used
 
Sidhani matamko ya raisi kama yalilenga courses za computer za UDOM. Naamini wa program nzuri tu na wako vizuri.
Mkuu mi tangu cku ile siwaamini udom...imagine unasoma unalipa ada unafika mwaka wa mwisho unaambiwa kilaza unapewa notes ya masaa 24 upotee
 
Back
Top Bottom