Mboni Masimba (samahani kama nimekosea jina) kwenye kipindi chake TBC alikuwa anamhoji binti mmoja ambaye amesomea kozi hiyo nafikiri kwa sasa anafanya practicals kibaha (?Tumbi). Hivyo ukimtafuta Mboni anaweza akakupatia habari za uhakika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.