Msaada Chuo cha Uuguzi na Ukunga Mkomaindo

AG.6851

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
97
Reaction score
87
Kwa anayekifahamu chuo cha Mkomaindo Masasi Mtwara naomba anifahamishe.
Mazingira yake, ubora wa wakufunzi wake na maisha ya pale chuoni kwa ujumla.
 
mimi nataka kujua vyuo vya uuguzi na ukunga mtwara
 
Nenda kasome bana. Mengine utayakuta huko
 
kipo masasi kipo hospital ya MKOMAINDO:ila n kjjn kama unapenda misele basi
 
kama unataka kujua uuguzi na ukunga nenda ndanda au chuo cha uuguzi songea cha katolik , ila kama unataka kutalii tu nenda mkomaindo pale sheria hakuna unajicmamia mwenyewe uende wodini au usiende ,uingie class au uache ni kama shule za kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…