Mwenye contact zozote za mhusika yeyote wa chuo hiki anitumie inbox 0753601095 maana profile yangu Ina provisionally selected kwa mda mrefu af namba zao za ofisini zinaita 2 hazipokelewi

Sa uwapigie chuoni kwani io profile yako ni ya chuo au tcu...??
Kama umeshapata joinin instruction nenda kareport chuo ayo mambo ya provisionally selected hayana maana kufatilia

asante kaka, lakini nimechaguliwa facult ya education in physics, instute ni st joseph university of engineering and technology, ni sahihi kama ulivyosema Kuwa ni dar? au hapo hakuna facult ya education?