Senator_4994
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 233
- 402
HUMU KILA MTU NDUGUkwa yeyte anaekifaham hicho chuo naomba anipe maelekezo location na mazingira kwa ujummla na pia kama kuna mtu anamajina ya wanafunzi waliochaguliwa hapo naomba attachment hapa yyt iwe pdf,docs nk kuna ndugu yangu alikijaza na anadai profile yake ilionesha kachaguliwa huko sasa kwenye web yao majina kila nikidownload yanaonekana yame corupt ko hayafunguki msaada wa hayo majina ya watu wa bachelor 2016/17
It might be soHUMU KILA MTU NDUGU
Chuo kipo bagamoyo mjini karibu kabisa na makumbusho ya kanisa katoliki(msalabani).It might be so
asante sana mkuuChuo kipo bagamoyo mjini karibu kabisa na makumbusho ya kanisa katoliki(msalabani).
Mazingira yake kwa ujumla ni mazuri na karibu huduma zote muhimu zinapatikana.
Bila kusahau kwamba chuo kipo karibu kabsa na bahari na hotels za kitalii kama stella maris,paradise na oceanic bay.
Kwa ujumla si sehemu ya kujutia endapo utapangiwa kusoma.
kama m_ ngapi ivi maana amechaguliwa Bed-sc (geog & bios)ada ndefuuu