Msaada chuo cha madini Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
475
Reaction score
622
Wakuu habari za leo?
Nimechaguliwa kujiunga na chuo hiki kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ngazi ya diploma.Mwenye kujua chochote kuhusu chuo hiki kuhusu maswala ya hostel,ulipaji wa ada na kadhalika naomba anijulishe tafadhali.
Natanguliza shukrani🙏🙏.
 
Kama umepangiwa campus ya Geita hostel ni za kutosha tu.
 
.chuo kipo fresh kipo karibu na chuo Cha mipango ,hostel zipo ila sio nyingi kivile .pia kuna hostel binafsi wanashare na wanafunzi wa mipango.
 
.chuo kipo fresh kipo karibu na chuo Cha mipango ,hostel zipo ila sio nyingi kivile .pia kuna hostel binafsi wanashare na wanafunzi wa mipango.
Pia mwambie pale madini hakuna lele mama kama mipango, madini ukizingua kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…