Nilikwmbia call me haujafanya hivyo, kuna sababu nyingi zinasababisha hili tatizo lakini zote zinatofautiana kati ya jinsia, kulingana na umri wa mtu, pamoja na hali ya mtu kwa sasa.
Unaweza kuwa na intraductal papilloma, ambayo ni common kwa wanawake wa umri wowote hasa pre-menapausal women, ductal ectasia inasababisha discharge nyingi kwenye nipple hasa kwa post-menapausal, kuna mastitis hasa kwa wale wanaonyonyesha lakina na wasionyonyesha pia, kuna wale wenye mimba wanapata colostrum discharge ambayo ni normal.
Unaweza kupata breast absces under areola pia dawa zozote kama vidonge vya mpango wa uzazi vitu vingi.
Nieleze vitu vifuatavyo naweza kukusaidia
1. Colour ya pus
2. Kama kuna pain
3. Kama kuna uvimbe wowote
4. Kama kuna mtoki (lymph node) kwapani
5. Mabadiliko ya rangi ya tt
6. Kama unapata homa kwa sasa
7. Je, una mimba
8. Vipi unanyonyesha
9. Je, unatumia contraceptive pills
10. Taja dawa unzotumia kwa sasa taja zote usiache ant TB, ARVs
11. Nambie mabadiliko ya mwili yeyote
hiyo mastitis wai uende hospital, sidhan kama ni kansa ya titi. Au find me through 0718451900. Make haujeleze umri, jinsia, make hata wanaume wana chuchu na titi.!
Titi langu moja linauma kweny:crying::crying:e chuchu na ukibinya chuchu inatoa maji mazito kama usaha.
thanks, color ya pus ni njano ila sio njano sana, pain iko kwa mbali na uvimbe upo ndani kwenye chuchu kama umeshikana na chuchu ambayo inaleta tofauti na chuchu ya titi lingine. hizo dalili nyingine sina. na dawa kwa sasa situmii tena baada ya kumaliza amoxline na dicloper walizonipa hosp.nilikwmbia call me hauja fanya hivyo, kuna sababu nyingi zinasababisha hili tatizo. lakin zote zinatofautiana kati ya jinsia, kulingana na umri wa mtu, pamoja na hali ya mtu kwa sasa. unaweza kuwa na intraductal papilloma, ambayo ni common kwa wanawake wa umri wowote hasa pre-menapausal women, ductal ectasia inasababisha discharge nyingi kwenye nipple hasa kwa post-menapausal, kuna mastitis hasa kwa wale wanaonyonyesha lakina na wasionyonyesha pia, kuna wale wenye mimba wanapata colostrum discharge ambayo ni normal. unaweza kupata breast absces under areola. pia dawa zozote kama vidonge vya mpango wa uzazi vitu vingi............ nieleze vitu vifuatavyo naweza kukusaidia 1 colour ya pus 2 kama kuna pain 3 kama kuna uvimbe wowote 4 kama kuna mtoki (lymph node) kwapani 5 mabadiliko ya rangi ya tt 6 kama unapata homa kwa sasa 7 je unamimba 8 vipi unanyonyesha 9 je unatumia contraceptive pills 10 taja dawa unzotumia kwa sasa taja zote usiache ant TB, ARVs 11m nambie mabadiliko ya mwili yeyote