Tawireeeeee nami pia........................!Wakuu naomba msaada wenu kuna siku mbili sikupata channel ya Star TV nikajua ni tatizo dogo lakini sasa hata kwenye list haipo
Natumia Star times..nifanyeje msaada jamani
Hili tatizo la Star TV linaonekana kuwa kubwa, maana hata hapa kwetu haionekani katika ving'amuzi vyote vya startimes.Tawireeeeee nami pia........................!
Ni kweli hata Mimi sipati nilishajiandaa kutembeza bakora nikihisi kuna aliyechokonoa akapoteza Chanel kumbe hata wewe hupatj basi wameponaWakuu naomba msaada wenu kuna siku mbili sikupata channel ya Star TV nikajua ni tatizo dogo lakini sasa hata kwenye list haipo
Natumia Star times..nifanyeje msaada jamani
Na mimi pia nimo humo..Tawireeeeee nami pia........................!