Bin Kisafuru
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 110
- 162
Jamani nina fangasi kwenye pumbu (korodani) zinanisumbua sana (zinawasha), msaada tafadhali maana nimetumia dawa za kupaka lakin wapi.
Mwenye kujua tiba asili naomba anisaidie.
Mwenye kujua tiba asili naomba anisaidie.