C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,311 Reaction score 5,735 Dec 19, 2015 #21 Mr Suggestion said: Bei gani kwa hapa mjini? nataka mifuko 120 sijui hiyo ni tani ngapi wana mahesabu, Click to expand... Tani 6
Mr Suggestion said: Bei gani kwa hapa mjini? nataka mifuko 120 sijui hiyo ni tani ngapi wana mahesabu, Click to expand... Tani 6
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,021 Dec 20, 2015 Thread starter #22 Kwani ukiacha hii ya Dangote tunayoitegemea, Cement ya bei ya chini kabisa sokoni sasa hivi ni ipi?Na bei yake ikoje?
Kwani ukiacha hii ya Dangote tunayoitegemea, Cement ya bei ya chini kabisa sokoni sasa hivi ni ipi?Na bei yake ikoje?
kaka mzuli Senior Member Joined Jan 2, 2015 Posts 167 Reaction score 49 Dec 20, 2015 #23 jembelamkono said: Kwani ukiacha hii ya Dangote tunayoitegemea, Cement ya bei ya chini kabisa sokoni sasa hivi ni ipi?Na bei yake ikoje? Click to expand... Nazani inategemea na eneo kama mkuranga pale adi naondoka mfuko ni 12000
jembelamkono said: Kwani ukiacha hii ya Dangote tunayoitegemea, Cement ya bei ya chini kabisa sokoni sasa hivi ni ipi?Na bei yake ikoje? Click to expand... Nazani inategemea na eneo kama mkuranga pale adi naondoka mfuko ni 12000
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,718 Reaction score 11,333 Dec 20, 2015 #24 Bei Ya Jumla Mfuko sh 11000 mbona kama gharama vile
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,021 Dec 20, 2015 Thread starter #25 Kwa anaejua bei ya jumla ya cement kwa Tanga mjini atuhabarishe tafadhali.
Ina Hu Member Joined Apr 13, 2012 Posts 47 Reaction score 18 May 24, 2016 #26 jembelamkono said: Wakuu, Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam. Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla. Ahsanteni. Click to expand... Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receipt
jembelamkono said: Wakuu, Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam. Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla. Ahsanteni. Click to expand... Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receipt
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,021 May 24, 2016 Thread starter #27 Ina Hu said: Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receipt Click to expand... Kwa bei gani kwa mfuko utaniuzia?
Ina Hu said: Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receipt Click to expand... Kwa bei gani kwa mfuko utaniuzia?
Ina Hu Member Joined Apr 13, 2012 Posts 47 Reaction score 18 May 24, 2016 #28 jembelamkono said: Kwa bei gani kwa mfuko utaniuzia? Click to expand... Nicheki +255625772575 kwa bei
jembelamkono said: Kwa bei gani kwa mfuko utaniuzia? Click to expand... Nicheki +255625772575 kwa bei
Polisi jamii JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 2,603 Reaction score 1,385 May 24, 2016 #29 SERIKALI YA BONGO CEMENT YA DANGOTE ITAUZWA 7000 LEO TUNAAMBIWA 11000