Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

Ni recommended one mkuu, na tulizifungua tena kihakikisha zimekaa sawa aula, ximekaa sawa.
 
Amesema pia ina ugumu kupanda Mlima, gear box inaweza kuwa sababu.... Na nimesema gear box maana huwa ni jambo tunalolisahau, sasa wewe mshauri unavyojua na uache kuchallenge wanaotoa mawazo yao, kenge wewe
Gari ina misi tayari gearbox inaingiaje?

Kuna utofauti mkubwa sana kati ya gari ambayo haina nguvu kwenye kupanda mlima sababu ya shida kwenye engine au shida kwenye gearbox, watu wengi hawawezi kutofautisha hili.
 
Kabisa mtaalam, msaada hapo mzee!
Mkuu fata wataalam waliokushauri kuhusu filters. Ila pia kwa kuongezea hakikisha coils zako zote ni nzima. Coil moja ikiwa mbovu au inavujisha umeme mis mis lazma ziwepo.

Wafungue throttle body waisafishe pia.
 
Ushauri wa wataalam nimezingatia sana mkuu na nitafanyia kazi, throttle n nn hii mtaalam.
 
Ushauri wa wataalam nimezingatia sana mkuu na nitafanyia kazi, throttle n nn hii mtaalam.
Valve inayoingiza hewa kwenye engine kutoka kwenye air filter. Hio sehemu ipo karibu na cable ya accelerator ukifungua bonet ya gari utaiona
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…