achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 63 Jul 11, 2014 #1 Wakuu naombeni msaada mtu mwenye calibration setting nzuri za SONY BRAVIA TV 32 LEDModel: KLV-33R4024. Picha hazina ubora mzuri kama nilivyotarajia na kwa mbali zinaonekana kuzibwa na mithili ya ukungu. Nimejaribu ku google sijafanikiwa.
Wakuu naombeni msaada mtu mwenye calibration setting nzuri za SONY BRAVIA TV 32 LEDModel: KLV-33R4024. Picha hazina ubora mzuri kama nilivyotarajia na kwa mbali zinaonekana kuzibwa na mithili ya ukungu. Nimejaribu ku google sijafanikiwa.
achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 63 Jul 12, 2014 Thread starter #2 Wataalamu wa hii kitu