Msaada: Browser Language..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Juzi baada ya kupata majanga ya hard drive fail ilibidi nifumbe macho nakureinstall windows (good thing I had a backup drive). Sasa ishu inakuja baada ya kuinstall browser ya google chrome, yan kila kitu nikifungua inakuja kwa lugha ya kidutch hali ambayo inanifanya ni translate page kila mda which is so annoying. Nimejaribu kucheza na settings za kwenye google chrome but hakuna sehemu nimeiona dutch imekua set kama default language kwaio bado nahangaika wakuu. Naomba ambaye mkuu amewahi kukutana na janga hili aweze kunipa msaada.
 
let me guess unatumia pd proxy au vpn thats why wamekuona kama mdutch vile.

toa hio chrome rudi upya website ya google kabla hujadownload set website iwe kingereza halafu ndio download.

ukishindwa hapo juu kaidownload kwenye external source kama file hipo, cnet nk
 

Ni kweli mkuu, thanx.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…