Chukua kopi yako ya fomu then nenda bodi ya mikopo mwenyeo, hakuna namna nyengine zaid ya hiyo.Naombeni Msaada wenu niliomba mkopo mwaka huu.
Juz wametoa majina ya ambao form zao ni incomplete ila na langu lipo.
Nina kopi lakini kila Mahali nimepajaza kiusahihi ila wao wamesema hakuna sahihi yang; na hakuna sehem sijatia sahihi,nishaurini nifanyeje watumishi wa Mungu!
Usemalo kweli huwezi jua kimetokea nini huko, kahakikishe kwanza.Asante mkuu ila nahisi makosa ni hao ktk kupick maana nimeijaza kila kitu haina makosa kabisa!
Asante mkuu ila nahisi makosa ni hao ktk kupick maana nimeijaza kila kitu haina makosa kabisa!
Asanteni sana!
Kwa dar office zao ziko Mahali gani!??
Nenda mkuu usibishe hata mie iliwai nitokea nikjiamini kila kitu niko sahihi kufika pale bodi ikaonekana sahihi ya mdhamini imekosekana ni marekebisho ambayo ni raisi kuyatatua usivunjike moyoNaombeni Msaada wenu niliomba mkopo mwaka huu.
Juz wametoa majina ya ambao form zao ni incomplete ila na langu lipo.
Nina kopi lakini kila Mahali nimepajaza kiusahihi ila wao wamesema hakuna sahihi yang; na hakuna sehem sijatia sahihi,nishaurini nifanyeje watumishi wa Mungu!
Ukweli nilitumia blue pen mkuu!
Kwa kweli jambo usilolijua ni Kama usiku wa Giza.
Nimejifunza kitu ngoja niende tu!