mi mwenyewe hilo tatizo nnalo... sema nimekomaa nalo hiivyohivyo pc inajirestart...ngoja niweke hiyo anti?malware... sema pc yangu kuna sehemu ilipasuka ndo maana sikufuatilia
Kama unaweza jaribu kuifanyia usafi wa ndani, ifungue utoe hdd, ram, processor, na nyaya zote zilizopo. Safisha kuanzia motherboard na vitu vyote vilivyomo ndani. Ukimaliza ipange upya vizuri kwa kuhakikisha hakuna loose connection.
Hilo tatizo linaweza kua RAM
Imetingishika au imeshaaribika. Hebu fungua sehemu ram zilipowekwa then km kuna ram pc 2 toa moja washa mashine angalia kama tatizo lipo. Km lipo irudishe toa iyo ya pili.
Km ni moja tu ipo kwa pc tafuta mpya weka.
Nimekupa ushauri huu kwa sababu nmetatua mengi km hayo na pia picha ulotuna inajieleza tatizo ni memory
Blue screen ni ishara kuna tatizo la hardware, mara nyingine hdd ikiwa inakata umeme/haufiki sawa sawa na hdd yako haiko resilent inakuwa kama haisomeki hutokea hiyo.