Msaada: BIOS password

Msaada: BIOS password

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,943
Reaction score
1,059
Husika na kichwa cha habari hapo juu nimenunua pc kwa mtu sana sasa ina BIOS PASSWORD nahitaji kuidelete hii password nime GOOGLE lakini sijapata hiyo link.

Naomba msaada tafadhari.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu nimenunua pc kwa mtu sana sasa ina BIOS PASSWORD nahitaji kuidelete hii password nime GOOGLE lakini sijapata hiyo link. naomba msaada tafadhari

simplest solution ..... mtafute aliyekuuzia akupe password kama hana akurudishie pesa yako utakua umeepukana na mambo mengi
 
ni computer ya aina gani hiyo? je ni laptop au desktop? na ni brand gani?
 
simplest solution ..... mtafute aliyekuuzia akupe password kama hana akurudishie pesa yako utakua umeepukana na mambo mengi

nahitaji hiyo complex solution mkuu
 
Back
Top Bottom