Kubet ni mzunguko wa siku moja tu. Ukipata japo odds 2 basi laki inakupa faida ya same laki for only one day, tena ukiwa smart sio hata siku moja bali masaa tu.Nawasalimu katika jina lipitalo majina yote, nimejichanga na kupata frem ya biashara.
Mwanzo nilipanga kufanya biashara ya nguo za kiume, nimegundua biashara hii ina mzunguko mdogo sana.
Naomba ushauri wa biashara yenye mzunguko mkubwa hata kama ina faida ndogo ndogo.
Nashindwa nijibu swali lipi.ulijichanga ili upate fremu ya nn na wakati hauna biashara?
uliwaza kitu gani mpaka ukachukua hiyo fremu?
hilo eneo ni la aina gani... barabara ya mtaani... barabara kuu?
je mazingira yaliyokuzunguka yana umaarufu wa biashara gani..
Unaweza ukaanzia na biashara maarufu za eneo hilo ila ukaileta kwa aina tofauti..
swali jingine umejipanga na mtaji kiasi gani...
na wew una uzoefu wa aina gani ya biashara uliyowahi kufanya hapo kabla..
Sianzishi kiwanda, nitajie tu biashara inayotoka kirahisi bila kujali hayo yote naamini zinajulikana.Mkuu kabla hujaanza Safari ya kufanya biashara, unatakiwa ufanye very deeply research..
Research yako itategemea na vitu vifuatavyo, ambavyo sisi hatuvijui..
Mda wako
Mazingira
Mtaji ulio nao
Target market
Changamoto za jamii yako, nk
Hivyo vyote ndio vita determine ufanye biashara gani..
Alafu umechukua frem, bila ww kujua ufanye biashara gani[emoji16]
Kukwambia ufanye biashara gani, itakuwa ngumu..
Asante.Baishara ya danguro.....kachukue watoto kutoka singida, kodisha nyumba nzima,jamaa akija, kwaalnza analipia pesa ya chumba 10000, pili atalipia pesa ya demu 3000 kwa bao moja....
Hahahaha si unajua wabongo wahana nguvu za kiume so bao moja ni dakika zero tu....samahani nitakaowakwaza ila ndio biashara yenye mzunguko wa faster....wazo hili hata Mimi najiuliza lilikujaje kichwani???
Wewe huna?Kuna wenye mawazo chanya ( + ) hapo, ukiyanyanyia kazi utakuwa umepata pa kuanzia.
Asante mkuu.Mzunguko wa Haraka (faida ndogo) ni mahitaji ya kila siku...,
Ila kwanini mzunguko wa haraka kama faida ni ndogo ?, Kumbuka hili taifa la watu ambao hawana kazi na kila tambo mbili kuna biashara zinazofanana.., huo mzunguko wa haraka huenda usiwe haraka (supply ni kubwa kuliko demand)..
Kwahio vitu vyenye faida vingi wengi waliokuzunguka wanafanya..., ili uweze kuwazidi hao ni mpaka uwe na kitu cha ziada (unless otherwise wewe fanya tu kama wao muendelee kugawana umasikini..)
Ukitaka raha fanya kitu chenye ugumu wa watu kuingia kufanya kama wewe (hio inahitaji mtaji) au tumia ubunifu wako na expertise ambayo wengine hawawezi waka-copy na ku-paste (skills)
Sikupingi mkuuMzunguko wa Haraka (faida ndogo) ni mahitaji ya kila siku...,