Mkuu serio hii bizneee iko very promising sana, kuhusu upatikanaji wa material ni rahisi sana wala haisumbui.
Kwa hiyo millioni 6 kanunue mashine pamoja na vitendea kazi vingine,
Pia tengeneza na sample zako kadhaa kwa ajili ya kuwaonesha wateja alafu baada ya hapo anza door to door marketing kwa kutembelea site mpya zinazoendelea kujengwa hapo utakuwa unachukua contacts za clients.
Work hard baadae utarudi unacheka mwenyewe hapa jukwaani
Nashukuru sana mkuu.. Hilo la promising market nimeliona. Ingawa nilikua na mashaka juu ya ubora wa materials ambazo zimesambaa kariakoo.. Kuna supplier mzuri anaye aminika unayemjua?
Kuhusu kutembelea sites zinazoendelea, nashukuru sana hilo nitalifanyia kazi...

na ukihitaji kutengenezewa vitabu vya kampuni yako mpya usisite kunijuza mkuu kila la kheri
Mkuu serio hii bizneee iko very promising sana, kuhusu upatikanaji wa material ni rahisi sana wala haisumbui.
Kwa hiyo millioni 6 kanunue mashine pamoja na vitendea kazi vingine,
Pia tengeneza na sample zako kadhaa kwa ajili ya kuwaonesha wateja alafu baada ya hapo anza door to door marketing kwa kutembelea site mpya zinazoendelea kujengwa hapo utakuwa unachukua contacts za clients.
Work hard baadae utarudi unacheka mwenyewe hapa jukwaani
Upo wapi mkuu,Habari wakuu...
Nimepata wazo la kufanya biashara ya Glass and aluminium ili niweze kutengeneza na ku supply madirisha, milango, curtains na bidhaa nyingine zinazohusika na hizo materials.
Ninachoomba kwenu wadau ni kama ifuatvyo:
- Taarifa juu ya upatikanaji wa malighafi -aluminum, glass
- Vitu gani muhimu natakiwa kuwa navyo ili niweze kufungua workshop yangu?
- Ni aina gani za aluminium ziko sokoni kwa sasa?
- Je, mtaji wa milioni 6 utanifikisha wapi?
- Soko la hii biashara likoje?
Naomba mwenye experience ya kutosha juu ya hii biashara anisaidie. Nashukuru sana.
NB. I have a special interest kwenye hii sekta ya ujenzi.
Ninao wengi sana wa kuaminika hapa kkoo[/
Mkuu twaweza Pata namba yako
Wewe Qs.....Mkuu nashukuru sana.. Hii machine nitaitafuta.