Usisikilize maneno ya watu ambao usikute wanapitaga kwa nje tu.
1.Kitaaluma ni kawaida i.e kama shule nyingine za serikali.
2. Performance inategemea na juhudi binafsi. Mfano: form 6 mwaka huu aliyeongoza maths kitaifa katoka pale. Kama ni msomaji anatoka.
3. Hostel zipo, maeneo ya jirani. Kuna Al-Haramain pale nyuma ya Benja. Pia kuna hostel za msimbazi kwa girls.
4. Jirani na mchikini ambapo kitovu cha masomo ya tuition, kama ataweza kuafford.