Msaada bei ya smart phones

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
Habari wadau Nina Laki Mbili Nataka Kununua Smart Phone Dukani je ni simu ipi inayoendana Na Bajeti Yangu na Simu ipi ni Bora na Nzuri Asanteni Sna!!!
 
Habari wadau Nina Laki Mbili Nataka Kununua Smart Phone Dukani je ni simu ipi inayoendana Na Bajeti Yangu na Simu ipi ni Bora na Nzuri Asanteni Sna!!!

kibongo bongo 2naibiana! Kwan ww upo wapii? Maana smu za kuuzwa laki 1 na nusu wabongo huwa wanataka wauze laki4
 
dah! Hapo Ndo Kaz! Ila Kuna smartphone Nyng za androids znazouzwa Lakimbili mpaka 180 tafta tecto au hata Galaxy Chat1! tena Hii ndo Imependekezwa Sana Na members weng humu! Na ina weza Ku run Latest android version! jelly bean! Bei inakadiria laki 1 na 80 mpaka 200000 ila uzaif wake camera ni mp 2 tuu na haina flash... Ila Waliotumia Wanasema ipo vema

 
Kwa ushaur wang kwa hiyo ela yako tafuta samsung galaxy 6312 duos..ni toleo jipya na imetulia....uwezo mzuri..camera 3mp...cpu 1ghz...ram 700mb..
 
Kwa ushaur wang kwa hiyo ela yako tafuta samsung galaxy 6312 duos..ni toleo jipya na imetulia....uwezo mzuri..camera 3mp...cpu 1ghz...ram 700mb..
hiyo samsung 6312 duos now inapatikana bongo mkuu?
 
Pouwer Wakuu asanteni sna Pia Kuna Hii simu inaitwa Samsung Galax Mini Pocket Hiii Ikoje
 
Pouwer Wakuu asanteni sna Pia Kuna Hii simu inaitwa Samsung Galax Mini Pocket Hiii Ikoje
hiyo ni simu nzuri ila sio kama galaxy 6312....alafu hata bei hazijapishana...ila kwa uwezo galaxy 6312 iko juu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…