Msaada bei ya pikipiki

Msaada bei ya pikipiki

Aina sanlg cc125 na 150 mpya, maduka ya dar na mwanza. Wadau maeneo hayo nijuzeni bei
 
Naomba kujuzwa bei ya pikipiki aina sanlg cc 125 na 150 mpya ktk maduka ya dar, arusha na mwanza
Kama tzs 1,950,000 (Kariakoo) wiki 6 sasa zimeshapita tangu nipewe hiyo quotation. Kuna fursa maeneo gani? Napata challenge ya kupata madereva waaminifu.
 
Aina sanlg cc125 na 150 mpya, maduka ya dar na mwanza. Wadau maeneo hayo nijuzeni bei

Ngoja Twende ICU Muhimbili Watatuambia Vizuri Bei Za Pikipiki Kwani Nyingi Huishia Safari Zake Pale.
 
Naomba kujuzwa bei ya pikipiki aina sanlg cc 125 na 150 mpya ktk maduka ya dar, arusha na mwanza

Mwanza nimeulizia 125cc ni Tshs 2,150,000, wakati 150cc ni Tshs 2,250,000 negotiable
 
Ukitaka fekon, san lg, toyo, sanya na majina mengine ya ajabu hizo utazipata china kwa wingi and BAJAJ, BOXER, TVS, MAHINDRA, HERO,.HIZI ZAPATIKANA INDIA ukisikia imetoka china ujue hiyo fake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom